Wednesday, October 23, 2013

IDARA YA MASOKO B.I.L YAFANYA UBANDIKAJI WA MABANGO YA FIESTA KWA MROMBO


Meneja wa Masoko B.I.L Bw. David Damian (aliyesimama kwenye stool) akisaidiwa na Ofisa wa Masoko Bw. Baraka Shillah kubandika bango ktk moja ya pub zilizopo Kwa Mrombo Arusha

Bwana David Damian akibandika bango kwenye moja ya store ya mteja wetu huko Kwa Mrombo